Tuesday, 30 June 2015

Hii ni video mpya ya wasanii chipkizi kutoka kahama ambao wamefanyia kazi katika studio za vema na kwa udhamini wa WIKA SPORTS. Karibu na wewe ulete habari zako wika sports na uwike kimichezo na kiburudani WIKA SPORTS ni mwanzo wa ndoto zako kuwa kweli. Mob: 0767 221 982

VEMA SIGN PICTURE VIDEO PRODUCTION'

Friday, 26 June 2015

MUZIKI WA ASILI WAZIDI KUWA JUU KWA MASHABIKI KULIKO WA KIZAZI KIPYA

VIJANA WA BHUDAGALA WAKIWA LOCATION picha na Bab jay. 

WIKA SPORTS ONE ambayo ni kampuni mpya wakala wa michezo kanda ya ziwa' imezidi kujionea umahiri wa sanaa ya music wa asili unaopigwa kwa mahadhi ya kikongo  (yaani ndombolo) na kwa mapigo na midundo ya kiafrika lakini kwa kutumia vyombo vya kisasa huku ukiimbwa kwa lugha ya kisukuma au kiswahili ukifanya vizuri katika show vijijini na mijini kushinda show za nyimbo za kizazi kipya.

WIKA SPORTS ONE mnamo wiki iliyopita ilihudhuria katika shindano la ngoma za asili na kujionea Kundi la Mzee INAGA likishindana na kundi la MGOTE MDOGO show ambayo ilihudhuriwa na umati wa watu wa marika mbalimbali, Hii inaaashiria muziki huu una wapenzi wengi.
VIJANA WA INAGA WAKIWA UWANJANI


INAGA MWENYEWA AKIJIANDAA KUFANYA MAUZAUZA